Uzbekistan
Mahakama Kuu ya Uzbekistan Yatetea Haki ya Mashahidi wa Yehova Kumiliki Machapisho ya Biblia
Maamuzi ya karibuni ya mahakama kuu yawaondolea mashtaka Mashahidi wa Yehova dhidi ya hukumu za kwamba wana hatia na kuagiza kwamba wasilipe faini.
Kuna Tumaini kwa Mashahidi wa Yehova Nchini Uzbekistan?
Inaonekana kwamba wenye mamlaka nchini Uzbekistan wameanza kuona umuhimu wa kuzingatia haki za kibinadamu. Mashahidi wa Yehova wanatarajia kwamba hali zitabadilika na makutaniko yote yatasajiliwa.