Hamia kwenye habari

Afya ya Kihisia

Vijana wengi huhisi upweke, wasiwasi, wanashuka moyo, na kuchoka kupita kiasi. Jifunze jinsi ya kukabiliana na hisia zako.

Hisia Zisizofaa

Ninaweza Kudhibiti Hisia Zangu Jinsi Gani?

Kubadilika kwa hisia ni jambo la kawaida kwa vijana lakini linawachanganya sana. Habari njema ni kwamba unaweza kuzielewa na kujifunza kudhibiti hisia zako.

Dhibiti Hisia Zako Zisizofaa

Daftari hili limetayarishwa ili likusaidie kukabiliana kwa njia inayofaa na hisia.

Nitaepukaje Maoni Yasiyofaa?

Unaweza kujifunza kuwa na mtazamo unaofaa ukifuata mapendekezo haya.

Ninaweza Kukabilianaje na Kushuka Moyo?

Mbinu hizi za kukabiliana na kushuka moyo zinaweza kukusaidia kuchukua hatua ili upone.

Kukabiliana na Huzuni

Ni jambo gani litakalokusaidia kukabiliana na huzuni?

Acha Kuhuzunika, Changamka!

Unaweza kufanya nini ikiwa umelemewa na huzuni?

Jinsi ya Kukabiliana na Upweke

Kuhisi ukiwa mpweke kwa kuendelea kunaweza kudhuru afya yako sawa na kuvuta sigara 15 kwa siku. Unawezaje kuepuka hali hiyo ya kuhisi umetengwa na wengine na kuhisi ukiwa mpweke?

Ninaweza Kukabilianaje na Mahangaiko?

Madokezo sita yanayoweza kukusaidia kufanya mahangaiko yakusaidie badala ya kukuumiza.

Ninawezaje Kudhibiti Hasira Yangu?

Maandiko matano yanaweza kukusaidia kubaki ukiwa mtulivu unapochokezeka.

Jinsi ya Kudhibiti Hasira

Mambo matano kwenye Biblia ya kukusaidia udhibiti hasira.

Je, Mimi Hutazamia Ukamilifu?

Unaweza kuelezaje tofauti kati ya kujaribu kufanya mambo kadiri uwezayo na kujiwekea viwango vya juu kupita kiasi?

Jifunze Kutotazamia Ukamilifu

Daftari hili linaweza kukusaidia kuwa na usawaziko kuhusu mambo unayotarajia kufanya na yale unayotarajia wengine wafanye.

Changamoto

Jinsi ya Kukabiliana na Mabadiliko

Hatuwezi kuepuka mabadiliko. Chunguza mambo ambayo wengine wamefanya ili kukabiliana nayo kwa mafanikio.

Je, Mimi Ni Mstahimilivu?

Kwa kuwa matatizo hayaepukiki, ni muhimu kwako kusitawisha ustahimilivu, hata iwe unakabili matatizo madogo au makubwa sana.

Ninaweza kukabilianaje na huzuni ya kufiwa?

Kadiri muda unavyoenda ndivyo huzuni itakavyoendelea kupungua. Tafakari kuhusu mapendekezo yaliyo katika makala hii, na uchague yale yatakayokusaidia.

Naweza Kukabilianaje na Msiba?

Vijana wanaeleza kilichowasaidia kukabiliana na msiba.

Mzazi Anapokufa

Kufiwa na mzazi ni jambo lenye kuhuzunisha sana. Ni nini kinachoweza kuwasaidia vijana kukabiliana na huzuni hiyo?

Nifanye Nini Ikiwa Sitamani Kuendelea Kuishi?

Madokezo manne yatakayokusaidia unapohisi kwamba hutamani kuendelea kuishi.

Nifanye Nini Ninapoonewa?

Watu wengi wanaoonewa huhisi hakuna njia wanayoweza kusaidiwa. Makala hii inaeleza hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kuboresha hali hiyo.

Nitafanya Nini Nikionewa?

Huenda usiweze kumbadili anayekuonea, lakini unaweza kubadili jinsi unavyotenda.

Mshinde Mnyanyasaji Bila Kutumia Ngumi

Jifunze kwa nini watu huwanyanyasa wengine na jinsi ya kushughulika nao kwa mafanikio.

Nifanye Nini Nikinyanyaswa Mtandaoni?

Unachopaswa kujua na kile unachoweza kufanya ili kujilinda.

Jinsi ya Kumnyamazisha Mnyanyasaji wa Mtandaoni

Daftari hili litakusaidia kupima manufaa na madhara ya maamuzi kadhaa na kuamua hatua za kuchukua ili kumnyamazisha mnyanyasaji wa mtandaoni.

Mitandao ya Kijamii Inaniathirije?

Mitandao ya kijamii inaweza kumfanya mtu kuwa mraibu wa kuitumia. Mapendekezo haya yanaweza kukusaidia usidhibitiwe na mitandao hiyo.

Ninaweza Kukabilianaje na Kubalehe?

Jifunze mambo unayopaswa kutarajia na jinsi ya kukabiliana na mabadiliko kwa mafanikio.

Kwa Nini Mimi Hujikata Kimakusudi?

Kujiumiza kimakusudi ni tatizo linalowakumba vijana wengi. Kama una zoea hilo, unawezaje kupata msaada?

Ninaweza Kuepukaje Uchovu wa Kupita Kiasi?

Ni nini kinachosababisha hali hii? Je, una uwezekano wa kupatwa na uchovu kupita kiasi? Ikiwa ndivyo, unaweza kufanya nini kukabiliana na hali hiyo?

Kupona Kihisia Baada ya Uhusiano Kuvunjika

Hatua zilizoonyeshwa kwenye daftari hili zitakusaidia kusonga mbele.

Napaswa Kujua Nini Kuhusu Kutendewa Vibaya Kingono?​—Sehemu ya 2: Kupata Msaada

Soma kuhusu waliotendewa vibaya kingono na ambao wamepata msaada.