Vijana Wenzako Wanasema Nini Kuhusu
Simu za Mkononi
Vijana watatu wanazungumza kuhusu faida na madhara ya kuwa na simu za mkononi.
Huenda Ukapenda Pia
VIJANA HUULIZA
Ninapaswa Kujua Nini Kuhusu Kutuma Ujumbe Mfupi?
Kutuma ujumbe mfupi kunaweza kuathiri urafiki wako pamoja na wengine na sifa yako. Ona hilo linawezakanaje.
VIBONZO KWENYE UBAO
Je, Vifaa Vyako Vinakudhibiti?
Unaishi katika ulimwengu uliounganishwa kielektroni, lakini si lazima teknolojia ikudhibiti. Unaweza kujuaje ikiwa una uraibu wa kutumia kifaa chako cha kielektroni? Ikiwa una tatizo, unaweza kufanya nini ili ujidhibiti badala ya kuacha kikudhibiti?
AMKENI!
Je, Unatumia Teknolojia Kwa Busara?
Jibu maswali manne rahisi yafuatayo ili ujue jinsi hali yako ilivyo.
VIJANA HUULIZA
Mitandao ya Kijamii Inaniathirije?
Mitandao ya kijamii inaweza kumfanya mtu kuwa mraibu wa kuitumia. Mapendekezo haya yanaweza kukusaidia usidhibitiwe na mitandao hiyo.
VIBONZO KWENYE UBAO
Tumia Mitandao ya Kijamii kwa Hekima
Furahia kuungana na marafiki kwenye Intaneti huku ukihakikisha uko salama.
VIJANA HUULIZA
Umaarufu Mtandaoni Ni Muhimu Kadiri Gani?
Watu fulani huhatarisha maisha yao ili tu kupata wafuasi na alama nyingi zaidi za kupendwa. Je, umaarufu kwenye mtandao ni muhimu sana?
VIJANA WENZAKO WANASEMA NINI