B5
Hema la Ibada na Kuhani Mkuu
Sehemu za Hema la Ibada
-
1 Sanduku la Agano (Kut 25:10-22; 26:33)
-
2 Pazia (Kut 26:31-33)
-
3 Nguzo za Pazia (Kut 26:31, 32)
-
4 Patakatifu (Kut 26:33)
-
5 Patakatifu Zaidi (Kut 26:33)
-
6 Pazia (Kut 26:36)
-
7 Nguzo za Pazia (Kut 26:37)
-
8 Vikalio vya Shaba (Kut 26:37)
-
9 Madhabahu ya Uvumba (Kut 30:1-6)
-
10 Meza ya Mikate ya Wonyesho (Kut 25:23-30; 26:35)
-
11 Kinara cha Taa (Kut 25:31-40; 26:35)
-
12 Kitambaa cha Hema cha Kitani (Kut 26:1-6)
-
13 Kitambaa cha Hema cha Manyoya ya Mbuzi (Kut 26:7-13)
-
14 Kitambaa cha Ngozi za Kondoo Dume (Kut 26:14)
-
15 Kifuniko cha Ngozi za Sili (Kut 26:14)
-
16 Kiunzi cha Mbao (Kut 26:15-18, 29)
-
17 Kikalio cha Fedha Chini ya Kiunzi (Kut 26:19-21)
-
18 Ufito (Kut 26:26-29)
-
19 Kikalio cha Fedha (Kut 26:32)
-
20 Beseni la Shaba (Kut 30:18-21)
-
21 Madhabahu ya Dhabihu ya Kuteketezwa (Kut 27:1-8)
-
22 Ua (Kut 27:17, 18)
-
23 Mlango (Kut 27:16)
-
24 Mapazia ya Kitani Yaliyoning’inia (Kut 27:9-15)
Kuhani Mkuu
Kutoka sura ya 28 inafafanua kwa kina mavazi ya kuhani mkuu wa Israeli
-
Kilemba (Kut 28:39)
-
Ishara Takatifu ya Wakfu (Kut 28:36; 29:6)
-
Jiwe la Shohamu (Kut 28:9)
-
Mnyororo (Kut 28:14)
-
Kifuko cha Kifuani cha Maamuzi Chenye Mawe 12 Yenye Thamani (Kut 28:15-21)
-
Joho la Bluu Lisilo na Mikono (Kut 28:31)
-
Upindo Wenye Kengele na Makomamanga (Kut 28:33-35)
-
Kanzu ya Kitani Bora Yenye Miraba (Kut 28:39)