A7-H
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma ya Mwisho ya Yesu Kule Yerusalemu (Sehemu ya 2)
WAKATI |
MAHALI |
TUKIO |
MATHAYO |
MARKO |
LUKA |
YOHANA |
---|---|---|---|---|---|---|
Nisani 14 |
Yerusalemu |
Yesu amtaja Yuda kuwa msaliti kisha amfukuza |
||||
Aanzisha Mlo wa Jioni wa Bwana (1Ko 11:23-25) |
||||||
Atabiri Petro atamkana na mitume watatawanyika |
||||||
Aahidi kumtuma msaidizi; mfano wa mzabibu wa kweli; atoa amri ya kupendana; sala ya mwisho pamoja na mitume wake |
||||||
Gethsemane |
Maumivu makali kwenye bustani; Yesu asalitiwa na kukamtwa |
|||||
Yerusalemu |
Ahojiwa na Anasi; ahojiwa na Kayafa, Sanhedrini; Petro amkana |
|||||
Yuda msaliti ajinyonga (Mdo 1:18, 19) |
||||||
Mbele ya Pilato, kisha Herode, na kurudi kwa Pilato |
||||||
Pilato ataka kumwachilia lakini Wayahudi wasema wanamtaka Baraba; ahukumiwa kuuawa kwenye mti wa mateso |
||||||
(Karibu saa 9:00 alasiri Ijumaa) |
Golgotha |
Afa kwenye mti wa mateso |
||||
Yerusalemu |
Mwili wake watolewa mtini na kuwekwa kaburini |
|||||
Nisan 15 |
Yerusalemu |
Makuhani na Mafarisayo waweka walinzi kulilinda kaburi na kulitia muhuri |
||||
Nisani 16 |
Yerusalemu na maeneo ya karibu; Emau |
Yesu afufuliwa; awatokea wanafunzi mara tano |
||||
Baada ya Nisani 16 |
Yerusalemu; Galilaya |
Awatokea wanafunzi wake tena na tena (1Ko 15:5-7; Mdo 1:3-8); awafundisha; awatuma kufanya wanafunzi |
||||
Iyari 25 |
Mlima wa Mizeituni, karibu na Bethania |
Yesu apaa mbinguni, siku 40 baada ya kufufuliwa (Mdo 1:9-12) |