ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Esta Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Maombolezo Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 2 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Tito Filemoni Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 Kitabu cha Kumbukumbu la Torati Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Kuondoka Mlima Horebu (1-8) Wakuu na waamuzi wawekwa (9-18) Watu wakosa kutii kule Kadesh-barnea (19-46) Waisraeli wakataa kuingia katika ile nchi (26-33) Washindwa kuteka Kanaani (41-46) 2 Kutangatanga nyikani kwa miaka 38 (1-23) Wamshinda Mfalme Sihoni wa Heshboni (24-37) 3 Wamshinda Mfalme Ogu wa Bashani (1-7) Kugawanywa kwa nchi upande wa mashariki wa Yordani (8-20) Yoshua aambiwa asiogope (21, 22) Musa hataingia katika nchi hiyo (23-29) 4 Waagizwa watii (1-14) Msisahau matendo ya Mungu (9) Yehova anataka aabudiwe yeye peke yake (15-31) Hakuna Mungu mwingine ila Yehova (32-40) Majiji ya makimbilio upande wa mashariki wa Yordani (41-43) Wapewa Sheria (44-49) 5 Agano la Yehova kule Horebu (1-5) Amri Kumi zarudiwa (6-22) Watu waogopa kwenye Mlima Sinai (23-33) 6 Mpende Yehova kwa moyo wako wote (1-9) “Sikilizeni, enyi Waisraeli” (4) Wazazi wanapaswa kuwafundisha watoto (6, 7) Msimsahau Yehova (10-15) Msimjaribu Yehova (16-19) Kiambieni kizazi kinachofuata (20-25) 7 Mataifa saba yataangamizwa (1-6) Sababu ya Waisraeli kuchaguliwa (7-11) Utii utawaletea mafanikio wakati ujao (12-26) 8 Baraka kutoka kwa Yehova zatajwa tena (1-9) “Haishi kwa mkate tu” (3) Msimsahau Yehova (10-20) 9 Sababu ya Waisraeli kupewa ile nchi (1-6) Waisraeli wamkasirisha Yehova mara nne (7-29) Ndama wa dhahabu (7-14) Musa aingilia kati (15-21, 25-29) Wamkasirisha mara tatu zaidi (22) 10 Mabamba mawili yatengenezwa tena (1-11) Analotaka Yehova (12-22) Mwogopeni na kumpenda Yehova (12) 11 Mmeuona ukuu wa Yehova (1-7) Nchi Iliyoahidiwa (8-12) Thawabu za kutii (13-17) Maneno ya Mungu yakaziwe katika mioyo (18-25) “Baraka na laana” (26-32) 12 Abuduni mahali ambapo Mungu amechagua (1-14) Waruhusiwa kula nyama lakini si damu (15-28) Msinaswe na miungu mingine (29-32) 13 Jinsi ya kuwatendea waasi imani (1-18) 14 Njia zisizofaa za kuomboleza (1, 2) Vyakula safi na visivyo safi (3-21) Sehemu ya kumi kwa ajili ya Yehova (22-29) 15 Madeni yafutwa kila mwaka wa saba (1-6) Kuwasaidia maskini (7-11) Kuwaachilia huru watumwa kila mwaka wa saba (12-18) Kutoboa sikio la mtumwa kwa msumari (16, 17) Wazaliwa wa kwanza wa wanyama watakaswa (19-23) 16 Pasaka; Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu (1-8) Sherehe ya Majuma (9-12) Sherehe ya Vibanda (13-17) Kuwaweka waamuzi (18-20) Vitu vya ibada vilivyokatazwa (21, 22) 17 Dhabihu zisiwe na kasoro (1) Kushughulikia uasi imani (2-7) Kuamua kesi ngumu (8-13) Maagizo kwa ajili ya mfalme atakayetawala (14-20) Mfalme aandike nakala ya Sheria (18) 18 Fungu la makuhani na Walawi (1-8) Mazoea ya kuwasiliana na roho waovu yakatazwa (9-14) Nabii kama Musa (15-19) Jinsi ya kuwatambua manabii wa uwongo (20-22) 19 Hatia ya damu na majiji ya makimbilio (1-13) Alama za mipaka zisisogezwe (14) Mashahidi mahakamani (15-21) Mashahidi wawili au watatu wahitajika (15) 20 Sheria za vita (1-20) Wale ambao hawakuruhusiwa kwenda vitani (5-9) 21 Mauaji yaliyofanywa na watu wasiojulikana (1-9) Kuoa wanawake mateka (10-14) Haki ya mzaliwa wa kwanza (15-17) Mwana mkaidi (18-21) Mtu aliyetundikwa mtini amelaaniwa (22, 23) 22 Kuheshimu wanyama wa jirani (1-4) Kuvaa nguo za watu wa jinsia tofauti (5) Kuwatendea wanyama kwa fadhili (6, 7) Ukuta unaozunguka ukingo wa paa (8) Michanganyiko isiyofaa (9-11) Vishada vya nguo (12) Sheria kuhusu kukiuka maadili ya ngono (13-30) 23 Wasioruhusiwa katika kutaniko la Mungu (1-8) Usafi wa kambi (9-14) Watumwa waliokimbia (15, 16) Ukahaba wakatazwa (17, 18) Riba na nadhiri (19-23) Vitu ambavyo wapita njia wanaruhusiwa kula (24, 25) 24 Ndoa na talaka (1-5) Kuheshimu uhai (6-9) Kuwajali maskini (10-18) Sheria kuhusu kuokota masalio (19-22) 25 Sheria kuhusu kumpiga mtu viboko (1-3) Usimfunge kinywa ng’ombe dume anapopura (4) Ndoa ya ndugu mkwe (5-10) Kumkamata mtu sehemu zisizofaa anapopigana (11, 12) Mizani na vipimo sahihi (13-16) Waamaleki wataangamizwa (17-19) 26 Kutoa mavuno ya kwanza (1-11) Sehemu ya kumi iliyotolewa mara ya pili (12-15) Waisraeli ni mali ya pekee ya Yehova (16-19) 27 Sheria itaandikwa kwenye mawe (1-10) Kwenye Mlima Ebali na Mlima Gerizimu (11-14) Laana zatangazwa (15-26) 28 Baraka za kutii (1-14) Laana za kutotii (15-68) 29 Agano pamoja na Waisraeli kule Moabu (1-13) Onyo kuhusu kutotii (14-29) Mambo yaliyofichwa, mambo yaliyofunuliwa (29) 30 Kumrudia Yehova (1-10) Amri za Yehova si ngumu sana (11-14) Kuchagua kati ya uzima na kifo (15-20) 31 Musa akaribia kufa (1-8) Sheria yasomwa hadharani (9-13) Yoshua awekwa kuwa kiongozi (14, 15) Uasi wa Waisraeli watabiriwa (16-30) Wimbo wa kuwafundisha Waisraeli (19, 22, 30) 32 Wimbo wa Musa (1-47) Yehova ni Mwamba (4) Waisraeli wamsahau Mwamba wao (18) “Kisasi ni changu” (35) “Furahini, enyi mataifa, pamoja na watu wake” (43) Musa atafia juu ya Mlima Nebo (48-52) 33 Musa ayabariki makabila (1-29) ‘Mikono ya milele’ ya Yehova (27) 34 Yehova amwonyesha Musa ile nchi (1-4) Kifo cha Musa (5-12) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Kumbukumbu la Torati—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) Kumbukumbu la Torati—Yaliyomo Kiswahili Kumbukumbu la Torati—Yaliyomo https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/d8f8c0370e/images/syn_placeholder_sqr.png