ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Esta Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Maombolezo Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 2 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Tito Filemoni Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Kitabu cha Zekaria Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Mwito wa kumrudia Yehova (1-6) ‘Nirudieni nami nitawarudia’ (3) Maono ya 1: Wapanda farasi katikati ya mihadasi (7-17) “Yehova atalifariji tena Sayuni” (17) Maono ya 2: Pembe nne na mafundi wanne (18-21) 2 Maono ya 3: Mtu mwenye kamba ya kupimia (1-13) Yerusalemu litapimwa (2) Yehova, “ukuta wa moto kulizunguka pande zote” (5) Kugusa mboni ya jicho la Mungu (8) Watu wa mataifa mengi watajiunga na Yehova (11) 3 Maono ya 4: Kuhani mkuu avishwa mavazi mengine (1-10) Shetani ampinga Kuhani Mkuu Yoshua (1) ‘Nitamleta mtumishi wangu anayeitwa Chipukizi!’ (8) 4 Maono ya 5: Kinara cha taa na mizeituni miwili (1-14) “Si kwa nguvu, bali kwa roho yangu” (6) Usidharau siku inayoanza kwa mambo madogo (10) 5 Maono ya 6: Kitabu cha kukunjwa kinachopaa angani (1-4) Maono ya 7: Kikapu cha kupimia (5-11) Kina mwanamke anayefananisha Uovu (8) Kikapu hicho chapelekwa Shinari (9-11) 6 Maono ya 8: Magari manne (1-8) Chipukizi atakuwa mfalme na kuhani (9-15) 7 Yehova awashutumu wanaofunga kwa unafiki (1-14) “Je, kweli mlifunga kwa ajili yangu?” (5) ‘Mtendeane kwa haki, upendo mshikamanifu, na huruma’ (9) 8 Yehova aleta amani na ukweli Sayuni (1-23) Yerusalemu, “jiji la ukweli” (3) “Kila mtu amwambie mwenzake ukweli” (16) Siku za kufunga zitakuwa siku za sherehe (18, 19) ‘Twendeni kwa bidii kumtafuta Yehova’ (21) Watu kumi watashika joho la Myahudi (23) 9 Mungu ayahukumu mataifa jirani (1-8) Kuja kwa mfalme wa Sayuni (9, 10) Mfalme mnyenyekevu apanda juu ya punda (9) Watu wa Yehova watawekwa huru (11-17) 10 Mwombeni Yehova awape mvua, msiombe miungu ya uwongo (1, 2) Yehova awaunganisha watu wake (3-12) Kiongozi kutoka katika nyumba ya Yuda (3, 4) 11 Madhara ya kumkataa mchungaji wa kweli aliyetumwa na Mungu (1-17) “Lichunge kundi la kondoo wanaopaswa kuchinjwa” (4) Fimbo mbili: Uzuri na Muungano (7) Mshahara wa mchungaji: vipande 30 vya fedha (12) Fedha hizo zatupwa kwenye hazina (13) 12 Yehova atalinda Yuda na Yerusalemu (1-9) Yerusalemu, “jiwe zito” (3) Wamlilia waliyemdunga (10-14) 13 Sanamu na manabii wa uwongo waondolewa (1-6) Manabii wa uwongo wataaibika (4-6) Mchungaji atapigwa (7-9) Theluthi ya watu kusafishwa (9) 14 Ibada ya kweli yashinda kabisa (1-21) Mlima wa Mizeituni utagawanyika katikati (4) Yehova atakuwa Mungu pekee, na jina lake litakuwa ndilo jina pekee (9) Ugonjwa utakaowapata wanaopigana na Yerusalemu (12-15) Sherehe ya Vibanda (16-19) Kila chungu kitakuwa kitakatifu kwa Yehova (20, 21) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Zekaria—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) Zekaria—Yaliyomo Kiswahili Zekaria—Yaliyomo https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/1add6d1d93/images/syn_placeholder_sqr.png