Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Agosti 29–Septemba 4

ZABURI 110-118

Agosti 29–Septemba 4
  • Wimbo 61 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) ll 16—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) ll 17—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 179-181 ¶17-19—Msaidie mwanafunzi aone jinsi anavyoweza kutumia habari hiyo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 82

  • Fundisha Kweli”: (Dak. 7) Mazungumzo.

  • Kampeni ya Pekee ya Kusambaza Mnara wa Mlinzi Mwezi wa Septemba”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video ya kwanza ya mapendekezo ya Septemba, kisha mzungumzie mambo makuu. Wachochee wote wawe na hamu ya kushiriki kampeni hiyo, na uwatie moyo wawe mapainia wasaidizi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 23 ¶1-14

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 144 na Sala

    Kikumbusho: Tafadhali sikilizeni muziki mara moja kabla ya kuimba.