Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Agosti 8-14

ZABURI 92-101

Agosti 8-14
  • Wimbo 28 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g16.4 jalada—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g16.4 jalada—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 161-162 ¶18-19—Msaidie mwanafunzi aone jinsi anavyoweza kutumia habari hiyo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 90

  • Wenye Umri Mkubwa—Mna Daraka Muhimu (Zb 92:12-15): (Dak.15) Mazungumzo. Onyesha video Wenye Umri Mkubwa—Mna Daraka Muhimu. (Tembelea tv.pr418.com, na tafuta kwenye VIDEO ON DEMAND > THE BIBLE.) Kisha waombe wasikilizaji waeleze mambo waliyojifunza. Watie moyo wenye umri mkubwa wawasimulie vijana mambo waliyojionea maishani na hekima waliyopata kutokana nayo. Watie moyo vijana watafute ushauri kutoka kwa wenye umri mkubwa wanapofanya maamuzi muhimu maishani.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 21 ¶13-22 na mambo ya kufikiria

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 29 na Sala