Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Aprili 11-17

AYUBU 21-27

Aprili 11-17
  • Wimbo 83 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: g16.2 jalada—Weka msingi wa ziara ya kurudia. (Isizidi dak. 2)

  • Ziara ya Kurudia: g16.2 jalada—Weka msingi wa ziara inayofuata. (Isizidi dak. 4)

  • Funzo la Biblia: bh 145 ¶3-4 (Isizidi dak. 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 129

  • Mshinde Mnyanyasaji Bila Kutumia Ngumi: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video ya kibonzo kwenye ubao yenye kichwa, Mshinde Mnyanyasaji Bila Kutumia Ngumi. (Tembelea Tovuti ya jw.org/sw, tafuta kwenye MAFUNDISHO YA BIBLIA > MATINEJA.) Baada ya hapo, zungumzia maswali yafuatayo: Kwa nini mtu anaweza kunyanyaswa? Unyanyasaji unaweza kuleta madhara gani? Unaweza kukabilianaje na unyanyasaji au kuuepuka? Ukinyanyaswa unapaswa kumwambia nani? Watie moyo wasome kitabu Vijana Huuliza, Buku la 2, sura ya 14.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: ia sura ya 13 ¶1-12 (Dak. 30)

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 23 na Sala