Aprili 17-23
YEREMIA 25-28
Wimbo 137 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Uwe Jasiri Kama Yeremia”: (Dak. 10)
Yer 26:2-6—Yehova alimwagiza Yeremia awatangazie watu ujumbe wa kuonya (w09 12/1 24-25 ¶6)
Yer 26:8, 9, 12, 13—Yeremia hakubabaishwa na wapinzani wake (jr 21-22 ¶13)
Yer 26:16, 24—Yehova alimlinda nabii wake mwenye ujasiri (w09 12/1 25 ¶1)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak 8)
Yer 27:2, 3—Kwa nini huenda wajumbe kutoka mataifa mbalimbali walifika Yerusalemu, na kwa nini Yeremia aliwatengenezea wajumbe hao nira? (jr 27 ¶21)
Yer 28:11—Ni kwa njia gani Yeremia alitumia akili Hanania alipompinga, na tunaweza kujifunza nini kutokana na mfano wake? (jr 187-188 ¶11-12)
Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?
Ni hazina gani nyingine za kiroho ulizopata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?
Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 27:12-22
BORESHA HUDUMA YAKO
Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) T-36—Weka msingi wa ziara ya kurudia.
Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) T-36—Weka msingi wa ziara inayofuata.
Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 7 ¶4-5—Onyesha jinsi unavyoweza kufikia moyo wa mwanafunzi.
MAISHA YA MKRISTO
Wimbo 17
“Nyimbo za Ufalme Zinatutia Moyo Tuwe na Ujasiri”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Wimbo Uliowatia Moyo Wafanyakazi.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 11 ¶9-21
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 26 na sala