Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Aprili 24-30

YEREMIA 29-31

Aprili 24-30
  • Wimbo 151 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • Yehova Alitabiri Kuhusu Agano Jipya”: (Dak. 10)

    • Yer 31:31—Agano jipya lilitabiriwa karne nyingi mapema (it-1 524 ¶3-4)

    • Yer 31:32, 33—Agano jipya ni tofauti na agano la Sheria (jr 173-174 ¶11-12)

    • Yer 31:34—Agano jipya linafanya iwezekane kupata msamaha kamili wa dhambi (jr 177 ¶18)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yer 29:4, 7—Kwa nini Wayahudi waliopelekwa uhamishoni waliamriwa ‘watafute amani’ kwa ajili ya Babiloni, nasi tunaweza kutumiaje kanuni hiyo? (w96 5/1 11 ¶5)

    • Yer 29:10—Mstari huu unaonyeshaje usahihi wa unabii wa Biblia? (g 6/12 14 ¶1-2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ulizopata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 31:31-40

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Mt 6:10—Fundisha Kweli.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Isa 9:6, 7; Ufu 16:14-16—Fundisha Kweli.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w14 12/15 21—Kichwa: Yeremia Alimaanisha Nini Aliposema Kwamba Raheli Anawalilia Wanawe?

MAISHA YA MKRISTO