Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MWANZO 31

Yakobo na Labani Wafanya Agano la Amani

Yakobo na Labani Wafanya Agano la Amani

31:44-53

Kwa nini Yakobo na Labani walitengeneza rundo la mawe?

  • Lilikuwa ushahidi kwa watu wote waliopita hapo kuhusu agano la amani walilokuwa wamefanya

  • Liliwakumbusha kwamba Yehova alikuwa akitazama kuona ikiwa wangedumisha agano lao la amani

Leo, Yehova anatarajia watu wake wawe na amani miongoni mwao. Mambo haya matatu yatasaidiaje kudumisha amani au kuirudisha?