Desemba 12-18
ISAYA 6-10
Wimbo 116 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Masihi Alitimiza Unabii”: (Dak. 10)
Isa 9:1, 2—Ilitabiriwa kwamba angehubiri hadharani katika eneo la Galilaya (w11 8/15 10 ¶13; ip-1 124-126 ¶13-17)
Isa 9:6—Angekuwa na majukumu mengi (w14 2/15 12 ¶18; w07 5/15 6)
Isa 9:7—Utawala wake utaleta amani ya kweli na haki (ip-1 132 ¶28-29)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Isa 7:3, 4—Kwa nini Yehova alimwokoa Mfalme Ahazi mwovu? (w06 12/1 9 ¶4)
Isa 8:1-4—Unabii huu ulitimizwaje? (it-1 1219; ip-1 111-112 ¶23-24)
Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?
Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?
Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 7:1-17
BORESHA HUDUMA YAKO
Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g16.6 jalada
Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g16.6 jalada
Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 34 ¶18—Onyesha jinsi ya kugusa moyo wa mwanafunzi.
MAISHA YA MKRISTO
Wimbo 10
“Mimi Hapa! Nitume Mimi” (Isa 6:8): (Dak. 15) Mazungumzo. Cheza video Kuhamia Eneo Lenye Uhitaji Mkubwa Zaidi.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 5 ¶10-17, na sanduku lenye kichwa “Sababu Kubwa ya Kuwa na Furaha”
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 150 na Sala
Kikumbusho: Tafadhali sikilizeni muziki mara moja kabla ya kuanza kuimba.