Desemba 16-22
UFUNUO 13-16
Wimbo 55 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Msiwaogope Wanyama wa Mwituni Wenye Kutisha”: (Dak. 10)
Ufu 13:1, 2—Joka ampa mamlaka mnyama wa mwituni mwenye vichwa saba na pembe kumi (w12 6/15 8 ¶6)
Ufu 13:11, 15—Mnyama wa mwituni mwenye pembe mbili aipa pumzi sanamu ya mnyama wa kwanza wa mwituni (re 194 ¶26; 195 ¶30-31)
Ufu 13:16, 17—Usikubali kutiwa alama ya mnyama wa mwituni (w09 2/15 4 ¶2)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Ufu 16:13, 14—Mataifa yatakusanywaje kwa ajili ya “vita vya siku kuu ya Mungu Mweza-Yote”? (w09 2/15 4 ¶5)
Ufu 16:21—Ni ujumbe gani ambao kwa hakika tutatangaza kabla ya mwisho wa ulimwengu wa Shetani? (w15 7/15 16 ¶9)
Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?
Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ufu 16:1-16 (th somo la 10)
BORESHA HUDUMA YAKO
Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video kisha zungumzeni kuihusu.
Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)
Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? na uizungumzie (lakini usionyeshe video) (th somo la 11)
MAISHA YA MKRISTO
Dumisha Msimamo wa Kutounga Mkono Upande Wowote: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Kutounga Mkono Upande Wowote Katika Mawazo na Matendo. Kisha uulize maswali yafuatayo, Unawezaje kuepuka kuunga mkono upande wowote inapohusu masuala ya kijamii au sera za serikali? Kisha cheza video Dumisha Msimamo wa Kutounga Mkono Upande Wowote Katika Sherehe za Umma. Kisha uliza swali, Unaweza kujitayarishaje kwa ajili ya hali inayoweza kujaribu msimamo wako wa kutounga mkono upande wowote?
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 95
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 131 na Sala