Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Desemba 23-29

UFUNUO 17-19

Desemba 23-29
  • Wimbo 149 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • Vita Vya Mungu Vya Kukomesha Vita Vyote”: (Dak. 10)

    • Ufu 19:11, 14-16—Yesu Kristo atatekeleza hukumu kwa haki (w08 4/1 8 ¶3-4; it-1 1146 ¶1)

    • Ufu 19: 19, 20—Mnyama wa mwituni na yule nabii wa uwongo wataangamizwa (re 286 ¶24)

    • Ufu 19:21—Wanadamu wote wanaopinga Enzi Kuu ya Yehova wataangamizwa (re 286 ¶25)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ufu 17:8—Ni kwa njia gani “mnyama wa mwituni alikuwako, lakini hayuko, na bado yuko.” (re 247-248 ¶5-6)

    • Ufu 17:16, 17—Tunajuaje kwamba ibada ya uwongo haitaangamizwa hatua kwa hatua? (w12 6/15 18 ¶17)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ufu 17:1-11 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 150

  • Nipe Ujasiri: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video ya wimbo uliotungwa wenye kichwa Nipe Ujasiri. Kisha mzungumzie maswali yafuatayo: Ni hali zipi maishani zinazohitaji tuonyeshe ujasiri? Ni masimulizi gani ya Biblia yanayokutia ujasiri? Ni nani walio pamoja nasi? Malizia sehemu hii kwa kuwakaribisha watu wasimame na kuimba wimbo “Nipe Ujasiri” (toleo la mikutanoni).

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 96

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 136 na Sala