Desemba 28, 2020–Januari 3, 2021
MAMBO YA WALAWI 16-17
Wimbo 41 na Sala
Utangulizi (Dak. 1)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Siku ya Kufunika Dhambi Inakuhusuje?”: (Dak. 10)
Law 16:12—Kwa njia ya mfano, kuhani mkuu alienda mbele ya kuwapo kwa Yehova (w19.11 21 ¶4)
Law 16:13—Kuhani mkuu alimtolea Yehova uvumba (w19.11 21 ¶5)
Law 16:14, 15—Baada ya hapo kuhani mkuu alifunika dhambi za makuhani na watu wote (w19.11 21 ¶6)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 10)
Law 16:10—Ni katika njia zipi mbuzi wa Azazeli aliwakilisha dhabihu ya Yesu? (it-1 226 ¶3)
Law 17:10, 11—Kwa nini tunakataa kutiwa damu mishipani? (w14 11/15 10 ¶10)
Umepata hazina gani za kiroho katika usomaji wa Biblia wa juma hili kumhusu Yehova, au ambazo ungependa kutumia katika utumishi wa shambani, au jambo lingine?
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Law 16:1-17 (th somo la 5)
BORESHA HUDUMA YAKO
Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia mazungumzo cha kawaida. (th somo la 3)
Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa chapisho la funzo. (th somo la 4)
Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) fg somo la 1 ¶1-2 (th somo la 14)
MAISHA YA MKRISTO
“Je, Ungependa Kuhudhuria Shule ya Waeneza-Injili wa Ufalme?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Wamishonari Walio Shambani—Wafanyakazi Katika Mavuno.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Lisizidi dak. 30) rr sura ya 2 ¶19-27
Umalizio (Usizidi dak. 3)
Wimbo 50 na Sala