Mambo Tunayojifunza Katika Kitabu cha Nehemia
Nehemia alitetea ibada ya kweli kwa bidii
-
Kuhani Mkuu Eliyashibu alimruhusu Tobia, ambaye hakuwa mwamini na aliyekuwa mpinzani, amwongoze vibaya
-
Eliyashibu alimpa Tobia jumba la kulia chakula hekaluni
-
Nehemia alitupa nje vitu vyote vya Tobia, akasafisha jumba hilo ili litumiwe kwa njia inayofaa
-
Nehemia aliendelea kuondoa uchafu wote Yerusalemu