Nehemia Aliipenda Ibada ya Kweli
455 K.W.K.
-
Nisani (Mac./
Apr.) 2:4-6 Nehemia aliomba ruhusa ya kujenga upya Yerusalemu, mahali palipokuwa kitovu cha ibada ya kweli katika siku zake
-
Iyari
-
Sivani
-
Tamuzi (Juni/Jul.)
2:11-15 Nehemia aliwasili karibu na wakati huu na kuchunguza kuta za jiji
-
Abi (Jul./Ago.)
-
Eluli (Ago./Sept.)
6:15 Ujenzi wa ukuta ulikamilika baada ya siku 52
-
Tishri