HAZINA ZA NENO LA MUNGU
Sherehe Zilizo na Maana Kwetu
Pasaka na Sherehe ya Mikate Isiyo na Chachu (Law 23:5, 6; it-1 826-827)
Sherehe ya Majuma (Pentekoste) (Law 23:15, 16; it-2 598 ¶2)
Sherehe ya Vibanda (Law 23:34; w14 5/15 29 ¶11)
Tunaweza kuwa na “shangwe kwelikweli” tunapotafakari maana ya sherehe za kale za Kiyahudi na jinsi ahadi za Yehova zitakavyotimizwa.—Kum 16:15.