Februari 17-23
METHALI 1
Wimbo 88 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Vijana—Mtamsikiliza Nani?
(Dak. 10)
[Onyesha VIDEO yenye kichwa Utangulizi wa Methali.]
Muwe na hekima msikilize wazazi wenu (Met 1:8; w17.11 29 ¶16-17; ona picha)
Usiwasikilize wanaotenda maovu (Met 1:10, 15; w05 2/15 19-20 ¶11-12)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
-
Met 1:22—Kwa kawaida, maneno “mjinga” na “mpumbavu” yanamaanisha nini yanapotumiwa katika Biblia? (w22.10 21 ¶6, 7, 11)
-
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 1:1-23 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 2) MAHUBIRI YA UMMA. Mwenye nyumba anataka kubishana nawe. (lmd somo la 6 jambo kuu la 5)
5. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 2) MAHUBIRI YA UMMA. Mpe namba yako mtu aliyependezwa na umwombe yake. (lmd somo la 1 jambo kuu la 5)
6. Kufuatia Upendezi
(Dak. 2) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mweleze kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia, na umpe kadi ya mawasiliano ya kujifunza Biblia. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)
7. Kufanya Wanafunzi
(Dak. 5) lff somo la 16 jambo kuu la 6. Tumia makala kutoka kwenye sehemu ya “Chunguza Zaidi” unapozungumza na mwanafunzi ambaye anajiuliza ikiwa kweli miujiza ambayo Yesu alifanya ilikuwa halisi. (th somo la 3)
Wimbo 89
8. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
9. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 22 ¶15-21