Januari 13-19
ZABURI 135-137
Wimbo 2 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. “Bwana Wetu Ni Mkuu Kuliko Miungu Mingine Yote”
(Dak. 10)
Yehova ameonyesha mamlaka juu ya uumbaji wake wote (Zb 135:5, 6; w15 6/15 6 ¶15)
Yeye huwatetea watu wake (Kut 14:29-31; Zb 135:14)
Anatutegemeza tunapojihisi wanyonge (Zb 136:23; w21.11 6 ¶16)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Zb 135:1, 5—Kwa nini neno “Yah” linatumiwa katika Biblia? (ip-1 169 ¶25)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Zb 135:1-21 (th somo la 11)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mpe namba yako mtu aliyependezwa na umwombe yake. (lmd somo la 2 jambo kuu la 4)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Mwalike mwenye nyumba kwenye mkutano. (lmd somo la 9 jambo kuu la 4)
6. Kufafanua Imani Yako
(Dak. 5) Onyesho. ijwfq makala ya 7—Kichwa: Je, Mashahidi wa Yehova Ni Wakristo? (th somo la 12)
Wimbo 10
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 21 ¶1-7, sanduku uk. 166