Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Januari 27–Februari 2

ZABURI 140-143

Januari 27–Februari 2

Wimbo 44 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

1. Tenda Kupatana na Sala Yako ya Kuomba Msaada

(Dak. 10)

Uwe tayari kukubali mashauri (Zb 141:5; w22.02 12 ¶13-14)

Tafakari matendo ya Yehova ya wokovu (Zb 143:5; w10 3/15 32 ¶4)

Jitahidi kuona mambo kama Yehova anavyoyaona (Zb 143:10; w15 3/15 32 ¶2)

Zaburi 140-143 zinatia ndani mengi zaidi ya sala za Daudi za kuomba msaada. Zinaonyesha pia kwamba alitenda kupatana na sala zake.

2. Hazina za Kiroho

(Dak. 10)

  • Zb 140:3—Kwa nini Daudi analinganisha ulimi wa waovu na wa nyoka? (it-2 1151)

  • Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?

3. Usomaji wa Biblia

BORESHA HUDUMA YAKO

4. Kuanzisha Mazungumzo

(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha mazungumzo baada ya kumsaidia mtu kwa njia hususa. (lmd somo la 3 jambo kuu la 5)

5. Kufuatia Upendezi

(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. Mtu huyo anakuambia kwamba ana shughuli. (lmd somo la 7 jambo kuu la 3)

6. Kufafanua Imani Yako

(Dak. 5) Onyesho. ijwfq makala ya 21—Kichwa: Kwa Nini Mashahidi wa Yehova Wanakataa Kutiwa Damu Mishipani? (th somo la 7)

MAISHA YA MKRISTO

Wimbo 141

7. Jitayarishe Kushughulikia Hali za Kiafya Zinazohitaji Matibabu au Upasuaji

(Dak. 15) Mazungumzo.

Yehova anaahidi kuwa “msaada unaopatikana kwa urahisi nyakati za taabu.” (Zb 46:1) Mtu anapohitaji kupata matibabu au kufanyiwa upasuaji anaweza kuwa na hofu. Hata hivyo, Yehova ametuandalia kila kitu tunachohitaji ili tujitayarishe kwa ajili ya hali hizo. Kwa mfano, tengenezo lake limeandaa kadi ya mamlaka ya kudumu ya uwakilishi wa kitiba (DPA), Kadi ya Utambulisho, a majarida mengine yenye habari za kitiba b kutia ndani Halmashauri ya Uhusiano na Hospitali (HLC). Maandalizi hayo hutusaidia kutii amri ya Mungu kuhusu damu.—Mdo 15:​28, 29.

Onyesha VIDEO Je, Umejitayarisha Kukabiliana na Masuala ya Kitiba? Kisha waulize wasikilizaji:

  • Baadhi ya watu wamenufaikaje kwa kujaza mapema kadi ya DPA?

  • Baadhi ya watu wamenufaikaje kutokana na fomu ya Habari kwa Akina Mama Wajawazito (S-401)?

  • Kwa nini inafaa kuwasiliana na HLC haraka iwezekanavyo hali inapotokea ambayo itakulazimu kulazwa, kufanyiwa upasuaji, au kupata matibabu fulani ya pekee kama vile ya kansa, hata ikiwa inaonekana kwamba suala la damu halitahusika?

8. Funzo la Biblia la Kutaniko

Umalizio (Dak. 3) | Wimbo 103 na Sala

a Wahubiri waliobatizwa wanaweza kuchukua kadi ya DPA kutoka kwa mtumishi wa machapisho na Kadi ya Utambulisho kwa ajili ya watoto wao wadogo.

b Unaweza kupata fomu ya Habari kwa Akina Mama Wajawazito (S-401), Habari kwa Ajili ya Wagonjwa Wanaohitaji Upasuaji au Matibabu ya Mionzi (S-407), na Jinsi Wazazi Wanavyoweza Kuwalinda Watoto Wao Kutokana na Matumizi Mabaya ya Damu (S-55) kutoka kwa wazee unapoihitaji.