Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

“Msiingilie Kazi”

“Msiingilie Kazi”

Kuhani Mkuu Yeshua (Yoshua) na Gavana Zerubabeli waliongoza katika kazi ya kujenga upya hekalu licha ya marufuku (Ezr 5:1, 2; w22.03 18 ¶13)

Wapinzani walipouliza ni nani aliyekuwa amewaagiza kufanya kazi hiyo, Wayahudi walisema ni agizo la Koreshi (Ezr 5:3, 17; w86 2/1 29, sanduku ¶2-3)

Mfalme alipata uthibitisho kuhusu agizo hilo na kuwaagiza wapinzani waache kuingilia kazi hiyo (Ezr 6:7, 8; w22.03 15 ¶7)

JAMBO LA KUTAFAKARI: Simulizi hili la Biblia linatusaidiaje kufuata mwongozo ambao huenda hatuelewi vizuri kutoka kwa wale ambao Yehova amewaweka rasmi kuongoza?​—w22.03 19 ¶16.