Agosti 12-18
ZABURI 73-74
Wimbo 36 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Vipi Ikiwa Tunawaonea Wivu Watu Ambao Hawamtumikii Mungu?
(Dak. 10)
Tunaweza kuanza kuwaonea wivu watu ambao hawamtumikii Mungu (Zb 73:3-5; w20.12 19 ¶14)
Tunaweza kupata tena mtazamo unaofaa tunapojiunga na ndugu zetu katika ibada, badala ya kujitenga (Zb 73:17; Met 18:1; w20.12 19 ¶15-16)
Wale ambao hawamtumikii Mungu wamesimama “kwenye ardhi yenye utelezi”; wanaomtumikia Mungu wataongozwa “kwenye utukufu” (Zb 73:18, 19, 24; w14 4/15 4 ¶5; w13 2/15 25-26 ¶3-5)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Zb 74:13, 14—Inaonekana “Lewiathani” anarejelea nini? (it-2 240)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Zb 74:1-23 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Tafuta nafasi ya kumweleza mtu mnayefahamiana jambo ambalo ulijifunza kwenye mkutano hivi karibuni. (lmd somo la 2 jambo la 4)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YA UMMA. Mwalike ajifunze Biblia na umwonyeshe jinsi linavyoongozwa. (lmd somo la 8 jambo kuu la 3)
6. Kufafanua imani Yako
(Dak. 5) Hotuba. ijwbq 89—Kichwa: Je, Dini Zote Ni Nzuri? (th somo la 14)
Wimbo 72
7. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 15)
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 14 ¶1-6, sanduku uk. 112