Juni 17-23
WAEFESO 4-6
Wimbo 71 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Vaeni Mavazi Kamili ya Silaha Kutoka kwa Mungu”: (Dak. 10)
Efe 6:11-13—Tunahitaji kulindwa dhidi ya Shetani na roho waovu (w18.05 27 ¶1)
Efe 6:14, 15—Jilinde kupitia kweli, uadilifu, na habari njema ya amani (w18.05 28-29 ¶4, 7, 10)
Efe 6:16, 17—Jilinde kupitia imani, tumaini la wokovu, na Neno la Mungu (w18.05 29-31 ¶13, 16, 20)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Efe 4:17-32 (th somo la 10)
BORESHA HUDUMA YAKO
Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.
Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)
Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 5) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? kisha uizungumzie (lakini usionyeshe video). (th somo la 8)
MAISHA YA MKRISTO
“Yehova Angesemaje?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Endelea Kufahamu Mapenzi ya Yehova (Law 19:18).
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 71
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 34 na Sala