Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Juni 24-​30

WAFILIPI 1-4

Juni 24-​30
  • Wimbo 33 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Usizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 4)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) fg somo la 6 ¶3-4 (th somo la 8)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 45

  • Je, Vifaa Vyako Vinakudhibiti?: (Dak. 5) Onyesha video. Kisha mjibu maswali yafuatayo: Vifaa vya kielektroni vina faida gani? Kuwa mraibu wa kutumia vifaa vya kielektroni kunaweza kukuletea madhara gani? Unawezaje kugundua ikiwa una uraibu wa vifaa vya kielektroni? Unaweza kufanya mambo gani ili ‘kuhakikisha mambo muhimu zaidi’? (Flp 1:10)

  • Chagua Burudani kwa Hekima”: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Nichague Burudani ya Aina Gani?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 72

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 76 na Sala