Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Machi 6-12

YEREMIA 1-4

Machi 6-12
  • Wimbo 23 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Uwe Tayari Kutoa Machapisho Mwezi Huu: (Dak. 15) Mazungumzo yanayotegemea “Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi.” Onyesha video za mapendekezo, halafu mzungumzie mambo makuu. Ikiwa video hizo hazipatikani, panga kuwe na onyesho.

MAISHA YA MKRISTO

^ fu. 8 Ufupisho wa Machapisho: w = Mnara wa Mlinzi; jr = Mungu Asema Nasi Kupitia Yeremia; kr = Ufalme wa Mungu Unatawala!; T-36 = Ufalme wa Mungu Ni Nini?; jl = Ni Nani Wanaofanya Mapenzi ya Yehova Leo?; it = Insight on the Scriptures; wp = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Watu Wote; ld = Msikilize Mungu