Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Machi 12-​18

MATHAYO 22-23

Machi 12-​18
  • Wimbo 30 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • Tii Zile Amri Mbili Kuu Zaidi”: (Dak. 10)

    • Mt 22:36-38—Mistari hii inaelezaje kinachomaanishwa na kutii ile amri kuu zaidi na ya kwanza katika Sheria? (“moyo,” “nafsi,” “akili” habari za utafiti Mt 22:37, nwtsty)

    • Mt 22:39—Amri kuu ya pili katika Sheria ni ipi? (“Ya pili,” “jirani” habari za utafiti Mt 22:39, nwtsty)

    • Mt 22:40—Upendo ndio msingi wa Maandiko yote ya Kiebrania (“Sheria . . . Manabii,” “hutegemea” habari za utafiti Mt 22:40, nwtsty)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 22:21—“Vitu vya Kaisari” ni vipi, na “vitu vya Mungu” ni vipi? (“Kaisari vitu vya Kaisari,” “Mungu vitu vya Mungu” habari za utafiti Mt 22:21, nwtsty)

    • Mt 23:24—Maneno ya Yesu yanamaanisha nini? (“ambao huchuja mbu lakini hummeza ngamia” habari za utafiti Mt 23:24, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 22:1-22

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) bhs 199 ¶8-9—Mwalimu anamtia moyo mwanafunzi awaalike marafiki wake kwenye Ukumbusho.

MAISHA YA MKRISTO