Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Machi 19-​25

MATHAYO 24

Machi 19-​25
  • Wimbo 126 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • Endelea Kuwa Macho Kiroho Katika Siku za Mwisho”: (Dak. 10)

    • Mt 24:12—Kuongezeka kwa uasi sheria kutafanya upendo wa watu upoe (it-2 279 ¶6)

    • Mt 24:39—Baadhi ya watu watatanguliza shughuli za kawaida za maisha na hilo litawakengeusha (w99 11/15 19 ¶5)

    • Mt 24:44—Bwana atakuja saa isiyotazamiwa (jy 259 ¶5)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 24:8—Maneno ya Yesu huenda yanadokeza nini? (“maumivu ya taabu” habari za utafiti Mt 24:8, nwtsty)

    • Mt 24:20—Kwa nini Yesu alisema maneno haya? (“wakati wa majira ya baridi kali,” “siku ya Sabato” habari za utafiti Mt 24:20, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 24:1-22

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anatokeza kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mtu uliyezungumza naye hayupo, lakini unamkuta mtu wa ukoo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO