HAZINA ZA NENO LA MUNGU
Jinsi Imani Inavyotufanya Tuwe Jasiri
Wapelelezi walioleta ripoti mbaya walikosa imani (Hes 13:31-33; 14:11)
Ukosefu wa imani wa wapelelezi kumi uliwavunja moyo ndugu zao (Hes 14:1-4)
Wapelelezi waliodumisha ujasiri walikuwa na imani yenye nguvu (Hes 14:6-9; w06 10/1 16-17 ¶5-6)
Tayari Waisraeli walikuwa wamejionea matendo ya wokovu ambayo Yehova alikuwa amefanya kwa niaba yao. Hilo lilipaswa kuimarisha imani yao kwamba angewasaidia kushinda nchi ya Kanaani.