Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Jihadhari Dhidi ya Kiburi na Kujiamini Kupita Kiasi

Jihadhari Dhidi ya Kiburi na Kujiamini Kupita Kiasi

Kora aliasi mpango wa Yehova kwa sababu alikuwa na kiburi na alijiamini kupita kiasi (Hes 16:1-3; w11 9/15 27 ¶12)

Kora alikuwa Mlawi aliyeheshimiwa ambaye tayari alikuwa na mapendeleo mengi (Hes 16:8-10; w11 9/15 27 ¶11)

Mtazamo mbaya wa Kora ulikuwa na matokeo mabaya sana (Hes 16:32, 35)

Hatupaswi kuruhusu mambo tuliyotimiza katika utumishi wetu kwa Yehova yatufanye tuwe na kiburi na kujiamini kupita kiasi. Kadiri ambavyo tumekuwa katika kweli kwa miaka mingi au tuna mapendeleo mengi, ndivyo tunavyopaswa kuwa wanyenyekevu zaidi.