HAZINA ZA NENO LA MUNGU
Kimbelembele Huongoza Kwenye Aibu
Mfalme Sauli alihisi kwamba anakabili hali ngumu (1Sa 13:5-7)
Badala ya kufuata maagizo ya Yehova kwa kiasi, Sauli alitenda kwa kimbelembele (1Sa 13:8, 9; w00 8/1 13 ¶17)
Yehova alimwadhibu Sauli (1Sa 13:13, 14; w07 6/15 27 ¶8)
Mtu hutenda kwa kimbelembele ikiwa kwa sababu ya haraka au upumbavu anafanya jambo ambalo hajaruhusiwa kufanya. Kinyume cha kimbelembele ni kiasi. Ni hali zipi zinazoweza kukushawishi kutenda kwa kimbelembele?