Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Baba Ampa Mwana Wake Himizo Lenye Upendo

Baba Ampa Mwana Wake Himizo Lenye Upendo

Sitawisha urafiki wa kibinafsi na Yehova (1Nya 28:9; w05 2/15 19 ¶9)

Mtumikie Yehova kwa moyo kamili (1Nya 28:9; w12 4/15 16 ¶13)

Mtegemee Yehova, na usiogope (1Nya 28:20; w17.09 32 ¶20-21)

Mfalme Daudi aliyezeeka alimpa himizo hilo mwana wake Sulemani aliyekuwa kijana na asiye na uzoefu kabla hajaanza kazi muhimu ya kujenga hekalu. Kwa nini ushauri huo ni wenye thamani kwetu sote, lakini hasa kwa vijana Wakristo?