Machi 24-30
METHALI 6
Wimbo 11 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Tunaweza Kujifunza Nini Kutoka kwa Chungu?
(Dak. 10)
Tunaweza kujifunza masomo muhimu kwa kuwachunguza chungu (Met 6:6)
Licha ya kwamba hawana mtawala, chungu hufanya kazi kwa bidii, wanashirikiana, na wanajitayarisha kwa ajili ya wakati ujao (Met 6:7, 8; it-1 115 ¶1-2)
Tunanufaika kwa kumwiga chungu (Met 6:9-11; w00 9/15 26 ¶3-4)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10.)
-
Met 6:16-19—Je, dhambi zilizoorodheshwa katika mistari hii ni orodha kamili ya mambo yote ambayo Yehova anachukia? (w00 9/15 27 ¶3)
-
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 6:1-26 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu wa ukoo ambaye ni mhubiri asiyetenda kwenye hotuba ya pekee na Ukumbusho (lmd somo la 4 jambo kuu la 3)
5. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwombe mwajiri wako ruhusa ya kuhudhuria Ukumbusho. (lmd somo la 3 jambo kuu la 3)
6. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mwalike mtu huyo kwenye hotuba ya pekee na Ukumbusho. (lmd somo la 5 jambo kuu la 3)
Wimbo 2
7. Uumbaji Unathibitisha Kwamba Yehova Anataka Tuwe na Furaha—Wanyama Wenye Kuvutia
(Dak. 5) Mazungumzo.
Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:
-
Wanyama wanatufundisha nini kumhusu Yehova?
8. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 10)
9. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 24 ¶7-12, sanduku uk. 193