Machi 31–Aprili 6
METHALI 7
Wimbo 34 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Epuka Hali Zinazoshawishi
(Dak. 10)
Kijana asiye na uzoefu anaamua kuingia katika eneo lililo na makahaba (Met 7:7-9; w00 11/15 29 ¶5)
Kahaba anamkaribia ili kumtongoza (Met 7:10, 13-21; w00 11/15 30 ¶4-6)
Anapatwa na madhara ya kujiingiza katika hali inayomshawishi (Met 7:22, 23; w00 11/15 31 ¶2)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Met 7:3—Inamaanisha nini kufunga amri za Mungu juu ya vidole vyetu na kuziandika kwenye kibao cha moyo wetu? (w00 11/15 29 ¶1)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Met 7:6-20 (th somo la 2)
4. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Katika ziara iliyotangulia, mwenye nyumba alikubali mwaliko wa Ukumbusho na akaonyesha upendezi. (lmd somo la 9 jambo kuu la 5)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Mara ya mwisho mlipozungumza, mtu huyo alikubali mwaliko wa Ukumbusho na akaonyesha upendezi. (lmd somo la 9 jambo kuu la 4)
6. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YA UMMA. Mara ya mwisho mlipozungumza, mtu huyo alikubali mwaliko wa Ukumbusho na akaonyesha upendezi. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)
Wimbo 13
7. Wakati Mwingine Unaofaa (Lu 4:6)
(Dak. 15) Mazungumzo.
Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:
Ibilisi alimjaribu Yesu jinsi gani, nasi tunaweza kujaribiwaje katika njia kama hizo?
Tunaweza kupingaje vishawishi vya Ibilisi?
8. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 24 ¶13-21