Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mei 28–​Juni 3

MARKO 13-14

Mei 28–​Juni 3
  • Wimbo 55 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • Epuka Mtego wa Kuwaogopa Wanadamu”: (Dak. 10)

    • Mk 14:29, 31—Mitume hawakukusudia kumkana Yesu

    • Mk 14:50—Yesu alipokamatwa, mitume wote walimwacha na kukimbia

    • Mk 14:47, 54, 66-72—Petro alikuwa na ujasiri wa kumtetea Yesu na kumfuata kwa umbali, lakini baadaye alimkana Yesu mara tatu (ia 200 ¶14; it-2 619 ¶6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mk 14:51, 52—Inawezekana kwamba yule kijana aliyekimbia akiwa uchi alikuwa nani? (w08 2/15 30 ¶6)

    • Mk 14:60-62—Huenda ni sababu gani iliyomfanya Yesu ajibu swali la kuhani mkuu? (jy 287 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mk 14:43-59

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike kwenye mikutano.

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko lako mwenyewe. Toa chapisho la kujifunzia.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) bhs 181-182 ¶17-18.

MAISHA YA MKRISTO