HAZINA ZA NENO LA MUNGU
Ubinafsi wa Amnoni Ulitokeza Msiba
Amnoni alimtamani sana Tamari (2Sa 13:1, 2; it-1 32)
Amnoni alimbaka Tamari (2Sa 13:10-15; w17.09 5 ¶11)
Absalomu alimuua Amnoni (2Sa 13:28, 29; it-1 33 ¶1)
Watu wanaochumbiana wanaweza kufanya nini ili kujiepusha na matatizo? Ili wafaulu kujizuia, kwa hekima wao huepuka maeneo na hali zinazoweza kuwaongoza wajihusishe katika mwenendo usiofaa.