Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Mbinu ya Vita ya Daudi

Mbinu ya Vita ya Daudi

Daudi alikuwa akimkimbia Sauli (1Sa 27:5-7; it-1 41)

Daudi alilinda mipaka ya Yuda (1Sa 27:8, 9; w21.03 4 ¶8)

Daudi hakumfunulia Akishi habari zote (1Sa 27:10-12; it-2 245 ¶6)

Leo, wenye mamlaka wanaweza kuzuia utendaji wetu wa Ufalme na kutuhoji kuhusu ndugu zetu. Katika pindi hizo, ni jambo la hekima kukaa kimya na hivyo tusiwahatarishe ndugu zetu.​—Met 10:19; 11:12; Mhu 3:7.