Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Waimarishe Wengine Wakati wa Taabu

Waimarishe Wengine Wakati wa Taabu

Senakeribu alivamia Yuda na akatisha kuivamia Yerusalemu (2Nya 32:1; it-1 204 ¶5)

Hezekia alichukua hatua zinazofaa ili kuilinda Yerusalemu (2Nya 32:2-5; w13 11/15 19 ¶12)

Hezekia aliwaimarisha watu wa Mungu kwa maneno yake (2Nya 32:6-8; w13 11/15 19 ¶13)

JIULIZE, ‘Ninaweza kuwasaidiaje ndugu zangu nyakati za taabu? ’