Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Yehova Huwathawabisha Watu Wanaotenda kwa Ujasiri

Yehova Huwathawabisha Watu Wanaotenda kwa Ujasiri

Yehoshabeathi na Yehoyada mume wake, walimlinda Yehoashi asiuawe na Athalia (2Nya 22:11, 12; w09 4/1 24 ¶1-2)

Kwa ujasiri Yehoyada alichukua hatua na kufanya Yehoashi kuwa mfalme (2Nya 23:1-11, 14, 15; w09 4/1 24 ¶3-5)

Yehoyada alipewa heshima ya pekee ya kuzikwa pamoja na wafalme (2Nya 24:15, 16; it-1 379 ¶5)

JAMBO LA KUTAFAKARI: Ningependa kuonyesha ujasiri zaidi katika sehemu zipi za ibada yangu?