Juni 24-30
ZABURI 54-56
Wimbo 48 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Mungu Yuko Upande Wako
(Dak. 10)
Unapokuwa na hofu mtegemee Yehova kama Daudi alivyofanya (Zb 56:1-4; w06 8/1 22 ¶10-11)
Yehova anauthamini uvumilivu wako naye atakusaidia (Zb 56:8; cl 243 ¶9)
Yehova yuko upande wako. Hataruhusu chochote kikuletee madhara ya kudumu (Zb 56:9-13; Ro 8:36-39; w22.06 18 ¶16-17)
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
-
Zb 55:12, 13—Je, Yehova alipanga mapema kwamba Yuda atamsaliti Yesu? (it-1 857-858)
-
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Zb 55:1-23 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YA UMMA. Mweleze kuhusu programu yetu ya kujifunza Biblia, na umpe kadi ya mawasiliano ya kujifunza Biblia. (th somo la 11)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. (lmd somo la 7 jambo kuu la 4)
6. Hotuba
(Dak. 5) w23.01 29-30 ¶12-14—Kichwa: Kumpenda Kristo Hutuchochea Kuwa na Ujasiri. Ona picha. (th somo la 9)
Wimbo 153
7. Tunaweza Kuwa na Shangwe Licha ya . . . Upanga
(Dak. 5) Mazungumzo.
Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:
-
Umejifunza nini kutokana na simulizi la Ndugu Dugbe kinachoweza kukusaidia unapokuwa na hofu?
8. Video ya Juni ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo
(Dak. 10) Onyesha VIDEO.
9. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 11 ¶11-19