“Mkumbuke . . . Muumba Wako Mkuu Katika Siku za Ujana Wako”
Mkumbuke Muumba wako Mkuu kwa kutumia nguvu zako ili kumtumikia ukiwa kijana
Sulemani alitumia maneno ya kishairi kufafanua matatizo ya uzee
-
Mstari wa 3: “Mabibi wanaochungulia madirishani wameona giza”
Uwezo wa kuona unapungua
-
Mstari wa 4: “Mabinti wote wa wimbo hutoa sauti ya chini”
Uwezo wa kusikia unapungua
-
Mstari wa 5: “Pilipili hupasuka”
Kupoteza hamu ya kula