Novemba 28–Desemba 4
WIMBO WA SULEMANI 1-8
Wimbo 106 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Msichana Mshulami—Mfano Unaofaa Kuigwa”: (Dak. 10)
[Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Wimbo wa Sulemani.]
Wim 2:7; 3:5—Msichana Mshulami aliazimia kumsubiri yule ambaye alimpenda kikweli (w15 1/15 31 ¶11-13)
Wim 4:12; 8:8-10—Alidumisha usafi wa maadili na ushikamanifu alipokuwa akimsubiri (w15 1/15 32 ¶14-16)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Wim 2:1—Ni sifa zipi zilizofanya Mshulami awe mrembo zaidi? (w15 1/15 31 ¶13)
Wim 8:6—Kwa nini upendo wa kweli unafafanuliwa kuwa “mwali wa moto wa Yah”? (w15 1/15 29 ¶3; w06 11/15 20 ¶7)
Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?
Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?
Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Wim 2:1-17
BORESHA HUDUMA YAKO
Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) bh—Tumia video Kwa Nini Ujifunze Biblia? ili kumtolea mwenye-nyumba kitabu. (Taarifa: Usionyeshe video wakati wa sehemu hii.)
Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) bh—Mkaribishe mwenye-nyumba kwenye mikutano.
Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 29-31 ¶8-9
MAISHA YA MKRISTO
Wimbo 115
“Vijana Huuliza—Je, Niko Tayari Kuanzisha Urafiki wa Kimapenzi?”: (Dak. 9) Hotuba inayotegemea makala yenye kichwa “Vijana Huuliza—Je, Niko Tayari Kuanzisha Urafiki wa Kimapenzi?”
Je, Huu Ni Upendo wa Kweli?: (Dak. 6) Onyesha na mzungumzie video ya vibonzo kwenye ubao yenye kichwa Je, Huu Ni Upendo wa Kweli?
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 4 ¶16-23, sanduku “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 34 na Sala