Novemba 25–Desemba1
UFUNUO 4-6
Wimbo 22 na Sala
Utangulizi (Usizidi dak. 3)
HAZINA ZA NENO LA MUNGU
“Wapanda Farasi Wanne Katika Mwendo”: (Dak. 10)
Ufu 6:2—Mpandaji wa farasi mweupe ‘alienda akishinda’ (wp17.3 4 ¶3 5)
Ufu 6:4-6—Nyuma yake kulikuwa na mpandaji wa farasi mwekundu na mpandaji wa farasi mweusi (wp17.3 5 ¶2 4-5)
Ufu 6:8—Kisha akafuata mpandaji wa farasi mwenye rangi ya kijivu, akifuatwa na Kaburi (wp17.3 5 ¶8-10)
Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)
Ufu 4:4, 6—Wale wazee 24 na wale viumbe hai 4 wanawakilisha nini? (re 76-77 ¶8; 80 ¶19)
Ufu 5:5—Kwa nini Yesu anaitwa “Simba wa kabila la Yuda”? (cf 36 ¶5-6)
Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?
Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?
Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ufu 4:1-11 (th somo la 5)
BORESHA HUDUMA YAKO
Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.
Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 4)
Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 53 ¶15 (th somo la 2)
MAISHA YA MKRISTO
“Yehova Anampenda Mtoaji Mchangamfu”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mzee. Anza kwa kuonyesha video yenye kichwa Mwongozo wa Kutoa Michango Kielektroni. Wajulishe wahubiri kwamba wanaweza kupata habari kuhusu michango kwa kubofya kitufe cha Michango kwenye jw.org na kwenye JW Library au kwa kuandika donate.pr418.com kwenye sehemu ya anwani. Soma barua kutoka kwenye ofisi ya tawi ya kutoa shukrani kwa michango iliyopokewa mwaka wa utumishi uliopita. Lishukuru kutaniko kwa ukarimu wake.
Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 92
Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)
Wimbo 43 na Sala