Desemba 9-15
ZABURI 119:1-56
Wimbo 124 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. “Kijana Anaweza Kuisafishaje Njia Yake?”
(Dak. 10)
Endelea kujilinda (Zb 119:9; w87 11/1 15 ¶10)
Shikamana na vikumbusho vya Mungu (Zb 119:24, 31, 36; w06 6/15 25 ¶1)
Yageuzie mbali macho yako yasitazame mambo yasiyofaa (Zb 119:37; w10 4/15 20 ¶2)
JIIULIZE, ‘Nimepokea vikumbusho gani ambavyo vinaweza kunisaidia niendelee kuwa safi kimaadili?’
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
Zb 119—Zaburi hii iliandikwa kwa mtindo gani, na huenda iliandikwa kwa sababu gani? (w05 4/15 10 ¶2)
Ungependa kushiriki nasi hazina gani kutoka kwenye usomaji wa Biblia wa juma hili?
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Zb 119:1-32 (th somo la 5)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Anzisha mazungumzo na mtu unayekutana naye barabarani ukiwa katika huduma ya nyumba kwa nyumba. (lmd somo la 1 jambo kuu la 4)
5. Kufuatia Upendezi
(Dak. 4) NYUMBA KWA NYUMBA. Katika ziara iliyotangulia, mwenye nyumba alikuambia alifiwa na mpendwa wake hivi karibuni. (lmd somo la 9 jambo kuu la 3)
6. Hotuba
(Dak. 5) ijwyp 83—Kichwa: Ninaweza Kupinga Vishawishi Jinsi Gani? (th somo la 20)
Wimbo 40
7. Video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo
(Dak. 10) Onyesha VIDEO.
8. Mahitaji ya Kutaniko
(Dak. 5)
9. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 19 ¶6-13