Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Septemba 12-18

ZABURI 120-134

Septemba 12-18
  • Wimbo 33 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) wp16.5 jalada —Mjibu mwenye nyumba aliyekasirika.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) wp16.5 jalada—Mwalike mwenye nyumba mkutanoni.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 8 ¶6—Msaidie mwanafunzi aone jinsi anavyoweza kutumia habari.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 114

  • Yehova Amenisaidia Sana: (Dak. 15) Onyesha video Yehova Amenisaidia Sana inayopatikana kwenye jw.org/sw. (Tafuta kwenye KUTUHUSU > UTENDAJI.) Zungumzia maswali yafuatayo: Yehova amemsaidiaje Crystal, na hilo limemchocheaje? Yeye hufanya nini anapolemewa na hisia zisizofaa? Kisa cha Crystal kimekusaidiaje?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia Umalizio ¶1-13

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 119 na Sala