Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Epuka Vitu Visivyo na Maana

Epuka Vitu Visivyo na Maana

Macho ya Akani yalimwongoza kuchukua kitu ambacho hakikuwa mali yake (Yos 7:1, 20, 21; w10 4/15 20 ¶5)

Matendo ya Akani yaliathiri familia yake na taifa lote la Israeli (Yos 7:4, 5, 24-26; w97 8/15 28 ¶2)

Tunapaswa kujitia nidhamu (1Yo 2:15-17; w10 4/15 21 ¶8)

Tunapaswa kuepuka vitu visivyo na maana ambavyo havitakuwepo katika ulimwengu mpya wenye uadilifu wa Mungu.—2Pe 3:13.