Septemba 30–Oktoba 6
ZABURI 90-91
Wimbo 140 na Sala | Utangulizi (Dak. 1)
1. Ili Uishi Maisha Marefu, Mtumaini Yehova
(Dak. 10)
Tukiwa wanadamu, hatuna uwezo wa kurefusha maisha yetu (Zb 90:10; wp19.3 5 ¶3-5)
Yehova ni wa “tangu milele hadi milele” (Zb 90:2; wp19.1 5, sanduku)
Anaweza na atawapa uzima wa milele wote wanaomtumaini (Zb 21:4; 91:16)
Usiharibu uhusiano wako na Yehova kwa kukubali matibabu yanayopingana na viwango vyake.—w22.06 18 ¶16-17.
2. Hazina za Kiroho
(Dak. 10)
3. Usomaji wa Biblia
(Dak. 4) Zb 91:1-16 (th somo la 10)
4. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 3) MAHUBIRI YASIYO RASMI. Bila kuzungumzia Biblia, mtie moyo akueleze mambo yanayomhangaisha ili ufahamu jinsi Biblia inavyoweza kuboresha maisha yake. (lmd somo la 1 jambo kuu la 3)
5. Kuanzisha Mazungumzo
(Dak. 4) MAHUBIRI YASIYO RASMI. (lmd somo la 1 jambo kuu la 4)
6. Hotuba
(Dak. 5) lmd nyongeza A jambo kuu la 5—Kichwa: Unaweza Kuishi Milele Duniani. (th somo la 14)
Wimbo 158
7. Thamini Utajiri wa Subira ya Mungu—Maoni ya Yehova Kuhusu Wakati
(Dak. 5) Mazungumzo.
Onyesha VIDEO. Kisha waulize wasikilizaji:
-
Kutafakari maoni ya Yehova kuhusu wakati kunaweza kutusaidiaje kungojea kwa subira kutimizwa kwa ahadi zake?
8. Video ya Septemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo
(Dak. 10) Onyesha VIDEO.
9. Funzo la Biblia la Kutaniko
(Dak. 30) bt sura ya 16 ¶1-5, sanduku uk. 128