AMKENI! Na. 6 2016 | Jinsi ya Kujilinda na Magonjwa
Magonjwa ya kuambukizwa ni hatari kwa afya yako. Unaweza kufanya nini ili kujilinda?
HABARI KUU
Jinsi ya Kujilinda na Magonjwa
Kila siku mwili wako hupambana na maadui wengi hatari wasioonekana.
HABARI KUU
Jilinde Dhidi ya Magonjwa
Chunguza mambo matano yanayoweza kufanya uambukizwe magonjwa na jinsi unavyoweza kujilinda.
JE, NI KAZI YA UBUNI?
Nyuzinyuzi za Kome wa Baharini
Kome huning’inia kwa kutumia nyuzinyuzi. Kuelewa jinsi nyuzinyuzi hizo hufanya kazi kunaweza kutusaidia kubuni njia bora za kushikisha vifaa kwenye majengo au kuunganisha kano kwenye mifupa.
KUTOKA KWA WASOMAJI WETU
Jinsi ya Kuonyesha Heshima
Heshima ni muhimu sana katika ndoa na haipaswi kupuuzwa hata kidogo. Unaweza kuonyeshaje kwamba unamheshimu mwenzi wako?
TUNAYOJIFUNZA KUTOKANA NA HISTORIA
Desiderius Erasmus
Baadhi ya watu wanasema kwamba Erasmus alikuwa “sawa na watu ambao ni maarufu sana leo.” Ni nini kilichofanya awe mtu maarufu?
Juhabahari Samaki Mwenye Makao ya Pekee
Samaki huyu mdogo ana rangi zenye kuvutia na ana uhusiano wa karibu na mmea wa anemone. Kwa nini uhusiano wao ni wa pekee, na ni nini kinachofanya ufanikiwe?
MAONI YA BIBLIA
Kutunza wakati
Kuwa mwenye kutunza wakati au kutotunza wakati kunaweza kuathiri sifa zako. Biblia inasema nini kuhusu sifa hiyo yenye thamani? Unawezaje kusitawisha sifa hiyo?
Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2016
Orodha ya makala zilizochapishwa kwenye gazeti la Amkeni! kwa mwaka wa 2016.
Habari Zaidi Mtandaoni
Uwe Safi na Nadhifu
Yehova huweka kila kitu mahali pake. Jifunze jinsi wewe pia unavyoweza kuwa safi na nadhifu!
Biblia Inasema Nini Kuhusu Krismasi?
Huenda historia ya desturi sita za Krismasi zinazopendwa na wengi ikakushangaza.